Electronic Voting System
Voter Sign in Instructions
- Tumia 'check Number' na 'Security code' uliyopewa kuingia.
-
Kwa kila nafasi chagua mgombea mmoja kwa kubofya kitufe cha tick kilicho chini yake.
-
Kuhama kutoka nafasi moja hadi nyingine bonyeza vitufe vya nafasi vilivyo juu mfano 'MWENYEKITI', 'KATIBU', 'KATIBU MSAIDIZI' na 'MWEKA HAZINA'
-
Angalizo kuwa makini mfumo hautokuruhusu kupiga kura mara mbili kwa nafasi moja. Kwa masaada zaidi wasiliana na Tume ya uchaguzi kwa namba +255 754 850 577 au +255 758 245 133